Singida Black Stars yamuongeza benchini Melis Medo

Klabu ya Singida Black Stars imetangaza kumuongeza Melis Medo kama kocha msaidizi na mshauri wa benchi la ufundi wa timu hiyo, atakayeshirikiana na makocha Juan Magro, Muhibu Kanu chini ya kocha mkuu David Ouma.

Mabadiliko hayo ni muendelezo wa marekebisho kwenye benchi lao la ufundi, ambapo hivi karibuni walimuongeza Juan Magro kama kocha msaidizi.



Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI