Simba imechoka: Oscar Oscar Jr


Timu yao yakawaida ila wametoa sare na timu ya kawaida mno, ni timu ambayo haina cha kugombania ligi kuu. Ni timu iliyo shaheni wachezaji wa daraja la kati wachezaji ambao mmoja mmoja hakuna anayeweza kucheza Yanga.

Laini tazama namna ambavyo Simba amecheza, huyu ni mpinzani mwepesi kwa timu iliyo bora. Lakini hapo hapo licha ya timu yao kujaa mizigo, magarasa kama Ateba.. Elia MKANZU na Chelesi Ahoua, wapi MASANTULA KIBU.

wanayo imani tarehe nane kuibuka na pointi tatu kwa Yanga hii ambayo yenye kiu ya kuchukua ubingwa, Yanga ambayo kila mchezaji anaye gusa boli ni hatari itakuwa ni ajabu Simba kuchomoka siku hiyo.

Mara zote huwa nawaambia Simba FC sio timu hatari wala timu bora, imejaza wavunja kwa ugoko. Wachambuzi wao wanawaingiza chaka, sasa hicho kichaka tarehe nane kinaenda kufyekwa kwa MUNDU.

Oscar Oscar Jr

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI