Pamba Jiji yaishika pabaya Singida Black Stars kwao


TIMU ya Pamba Jiji ya jijini Mwanza jioni ya leo imewabana mbavu wenyeji wao Singida Black Stars baada ya kutoka nayo sare ya mabao 2-2 uwanja wa Liti mjini Singida.

Mabao ya Singida Black Stars yamefungwa na washambuliaji, Muivory Coast, N'guessan Serge Archange Pokou dakika ya 10 na Mghana, Jonathan Sowah kwa penalti dakika ya 32, wakati ya Pamba yote yamefungwa na mshambuliaji Mkenya, Mathew Tegisi Momanyi dakika ya 28 na 47.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI