Mbeya City kurejea Ligi Kuu bara

Baada ya kutoa sare dhidi ya TMA Arusha kwenye mchezo mgumu siku ya jana ni rasmi Mbeya City 
imefikisha alama 40 ikisalia nafasi ya nne ambapo Stand United akiwa nafasi ya 3 kwa pointi 42 na Mtibwa Sugar akiongoza kwa pointi 48.

Michezo ijayo itazikutanisha
Mbeya City na Mbuni FC Arusha
Mtibwa Sugar na Geita Gold Manungu Complex

Nafasi bado ipo kwa Mbeya City kurejea Ligi Kuu bara msimu ujao endapo itafanikiwa kumaliza nafasi ya tatu au ya pili


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI