Maurice Sinchome aisaidia Trident kupata sare Ligi Kuu Zambia

Kinda Mtanzania anayecheza ligi daraja la kwanza nchini Zambia Maurice Sinchone (18) ameisaidia timu yake ya Trident FC kupata alama 1 leo baada ya kufunga bao dhidi ya Konkola Blades kwenye mchezo wa ligi daraja la kwanza nchini humo.

Hivi sio Vipaji ambavyo tunaweza kuviacha vipotee, Mchezaji anacheza nje ya nchi akiwa na umri mdogo kama Mourice, inabidi tumkumbatie kwa namna yeyote ile na kumuweka kwenye mipango kama Taifa, hata AFCON ya U20 anastahili kujumuishwa.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI