Mashujaa FC na wachezaji wengi toka Zanzibar

Klabu ya Mashujaa FC ndio klabu inayoongoza kuwa na wachezaji wengi kutoka Visiwani Zanzibar na ndio maana ukitaja moja ya timu zinazocheza soka la kutandaza mpira chini na lenye kuvutia basi ni Mashujaa FC wachezaji hao ni kama

1. Ibrahim Ame Mohamed (Varane)
2. Abdul Malick Zakaria (Agrey)
3. Baraka Mtui (Popa)
4. Mundhir Vuai (Diara)
5. Hassan Haji (Cheda)
6. Abdulnasir Assa (Gamal)
7. Seif Abdallah (Karihe)
8. Mohamed Mussa (Mudy)

Pia kocha wao ni kutoka visiwani Zanzibar ambaye ni Mohamed Abdallah Bares.

Kufungwa kwao na Yanga hakujatokana na hilo isipokuwa waliingia kwenye mfumo na ndio maana wakapigwa nyingi kama timu nyingine ziliadhibiwa mabao kama hayo.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI