Lakred au Salim kumrithi Camara, Simba

Walinda lango Ayoub Lakred, Ally Salim, Hussein Abel na Alexander ndio magolikipa waliofanya mazoezi siku ya leo kujiandaa na mchezo wa keshokutwa dhidi ya Coastal Union,

Huku haadhi ya wachezaji watatu wakiwa hawajaonekana siku ya leo ambao ni mlinzi Che Malone Fondoh, Aishi Manula na Moussa Camara ambao ni majeruhi


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI