Kocha wa makipa Yanga, atimkia FAR Rabat


Kocha wa magolikipa wa Yanga Alaa Meskini amejiunga na FAR RABAT

Baada ya kupata matatizo ya kufiwa na baba yake mzazi, ameamua kurudi Morocco ili awe jirani na familia

Kocha huyo tayari ameondoka Dsm na vitu vyake vyote


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI