Kipa Yanga SC afariki dunia


Kipa wa zmaani wa Yanga SC na Tanzania Prisons ya Mbeya Nelson Kimathi (pichani)  amefariki leo asubuhi katika HospitalI ya Bugando Jijini Mwanza. 

Kwa mujibu wa Jerson Tegete anasema Nelly amefariki kwa matatizo ya kifua.

Pumzika kijana wangu Nelly, nakumbuka zile penati zangu za buku 10 ukidaka 1, uliwahi kuzuia 1 sio kama Said Kipao na Denis Richard.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa! Jina lake lihimidiwe.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI