Hatimaye kwa mara kwanza Juma Kaseja atasimama kama Kocha mkuu wa Kagera Sugar
Atajiunga na timu ya Kagera Sugar kama kocha mkuu anaenda kuchukua nafasi ya Melis Medo ambae wameachana nae, Kaseja anaondoka aliondoka jana Feb 28 kuelekea Bukoba.
Juma Kaseja atasaidiwa na Temmy Felix pamoja na Paul Ngwayi, lengo ni kuibakisha Kagera ligi kuu ya NBC.
#SportsPoint