Chama aamua kufuta picha zake zote za Yanga Instagram a


Nyota wa Simba anayecheza Yanga kwa sababu ambazo hata yeye hazijui ameanza kufuta Picha zote alizowahi kupost akiwa na jezi ya Yanga, Kuanzia siku anatambulishwa hadi leo

Chama amebakiza Picha na Video akiwa na Jezi ya Yanga zile ambazo amepewa Colaboration na Ukurasa wa Yanga na watu wengine ambazo kimsingi sio yeye alipost

Ajabu ni kwamba Chama amefuta hadi zile picha za utambulisho wake hapo Yanga ila kabakisha ile Post yake ya kuwaaga wanasimba

Chama hadi leo hajawahi kufuta post yoyote akiwa na Jezi ya Simba pamoja na kwamba alishaondoka Simba

Huenda Chama ameamua tu kupunguza picha zake Instagram yake imejaa labda