Ahmed Ally alilia ugumu wa ligi

“Presha ni kubwa na sio tu sababu upo nafasi ya kwanza ni namna upinzani ulivyo, alafu presha inaongezeka zaidi ukikaa ukachora ramani yako ya kuufikia ubingwa unaona mbele kuna Azam, Jkt na Yanga ndio presha inatengenezeka hapo sasa, kwahiyo inazidi kuongezeka jinsi ya kulinda nafasi yako dhidi ya mechi zilizobaki mbele yako”

“Kiukweli tuseme kwamba hatupo sawa kwa ujumla hata kama tutashika nafasi yako dhidi ya kwanza sababu mbele kuna vigingi vizito vya kuvuka, kwahiyo bado presha ni kubwa kweli kweli”