Kiungo wa kimataifa wa Uganda Halid Aucho amemwambia kocha wa klabu hiyo kuwa hataongeza mkataba mpya.
Hadi sasa hakuna mazungumzo yoyote baina ya Yanga na Aucho licha ya kwamba mkataba wake unatamatika mwezi juni mwaka huu.
Pia, kuna taarifa zinazoeleza kuwa nyota huyo ametumiwa ofa ya kwenda kukipiga kunako ligi ya Saudia