Tshabalala amuanika Layka

Baada ya jana mshambuliaji hatari wa mabingwa wa soka Tanzania bara Prince Dube kupost picha akiwa na watoto wake.

Beki wa kushoto wa vinara wa Ligi Kuu bara Mohamed Hussein Tshabalala au Zimbwe Jr naye amepost picha akiwa na mwanaye aliyemtambulisha kwa jina la Layka.

Tshabalala ameenda mbali zaidi kwa kusema mtoto wake Layka anaonekana ni Simba damu.