Seleman Mwalimu atambulishwa Wydad Casablanca


Klabu ya Wydad Casablanca imekamilisha Usajili wa Nyota wa Klabu ya Singida Black Stars anayecheza kwa Mkopo Seleman Mwalimu
.
Ikumbukwe Wydad walikua wanamuhitaji Clement Mzize katika dirisha hili la Usajili lakini Yanga wamewapiga Kalenda hadi mwezi Julai mwaka huu.

Mwalimu pia alikuwa anaichezea Fountain Gate lakini Singida Black Stars walimnunua na sasa wamempiga bei


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI