Prince Dube akiwa na watoto zake nyumbani

Mshambuliaji hatari wa mabingwa wa soka Tanzania bara, Prince Dube Mpumalelo, amepost picha yake akiwa na watoto wake wawili.

Katika picha hiyo Dube anaonekana kuwa na furaha, inaonekana wazi kwamba Dube ana watoto wawili wadogo wanaolingana.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI