Lilepo atua Kaizer Chief

Grody Lilepo amejiunga na Kaizer Chiefs ya South Africa akiungana na Kocha wa zamani wa Yanga Nassreddine Nabi

Nassreddine anaenda kuifufua Kaizer Chief iliyopoteza makali kwa baadhi ya misimu nyuma.