KUTOA URAIA KWA WACHEZAJI WA KIGENI SIO SAHIHI

Na Abdul Makambo

SUALA la kutoa uraia kwa wachezaji wa kigeni silipingi ila linatia shaka.lazima tulitazame kwa jicho pana vinginevyo tutafeli.

Hawa wachezaji wengi hawana ubora katika nchi zao ndiyo maana wamekuja katika ukanda wetu wa CECAFA.

Tuachane na mtizamo huo tunachotakiwa tutengeneze program ya kuibua vipaji vya soka.

Tanzania imebarikiwa kuwa na vipaji vya soka.tukijipanga tunaweza hata Roma haikujengwa siku moja na penye nia pana njia.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI