Mshambuliaji wa zamani wa yanga SC na Singida black Stars Joseph guede raia wa ivory coast amejiunga na klabu ya Al Wehdat ya Jordan Kwa mkataba wa miezi 6.
Guede aliwahi kuichezea Yanga na anahusika kwenye mafanikio ya kufika robo fainali ya Ligi ya mabingwa Afrika ambapo goli lake dhidi ya CR Belouizdad ya Algeria liliiwezesha kutinga robo fainali.
Pia aliwahi kuichezea Singida Black Stars kabla ya kuachana naye