Mtanzania ang' ara Morocco
Nyota wa Tanzania Jaruph Juma ameisaidia timu yake ya Ain Diab kupata ushindi wa magoli 5-0 kwenye mchezo wa Ligi kuu ya Soka la Ufukweni ya Morocco (Beach Soccer) dhidi ya timu ya Hercules.
Jaruph amefunga magoli 3 katika mchezo huo. hii inadhihirisha kwamba wachezaji wa Tanzania wanafanya vizuri nje.