Clara Luvanga apiga bao, Al Nassr ikiua 3-1 Saudi Arabia
Nyota Wa Tanzania Clara Luvanga Ameiwezesha Timu Yake Ya Al Nassr FC Ya Saudi Arabia Kupata Ushindi Wa Mabao 3 - 1 Dhidi Ya Al-Ula Katika Mchezo Wa Ligi Kuu Ambao Clara Ametupia Wavuni Goli Moja.
Magoli Mengine Mawili Yamefungwa Na Ruth Kipoyi Raia Wa Congo Aliyeingia Kipindi Cha Pili Na Lina Raia Wa Algeria.