Boka, Baleke ruksa kuivaa CBE
Wachezaji, Chadrack Boka na Jean Baleke baada ya kukosa michezo ya awali CAF Champions League sasa wako huru kucheza hatua inayofuata CAF champions League.
ITC za Chadrack Boka na Baleke zilichelewa kufika, zilifika wakati ambao dirisha la CAF likiwa limefungwa.