Ateba kutesti mitambo na Al Hilal Omdurman


Mshambuliaji mpya wa Club ya Simba SC raia wa Cameroon Leonel Ateba Mbida atatumia jezi namba 13 akiwa Simba SC.

Atacheza kwa mara ya kwanza akiwa katika jezi ya Mnyama kesho Jumamosi dhidi ya Al Hilal Omdurman katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI