Chley Nkose amshukuru Diamond Platinumz
Msanii kutoka Afrika Kusini Chley Nkosi" ametoa shukrani zake kwa staa wa bongofleva Diamond Platnumz hii ni baada ya Diamond Platnumz kumshirikisha kwenye nyimbo kadhaa
.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram mrembo Chley ametoa shukrani kwenye hilo na ameamua kumshukuru Diamond waziwazi.