Simba yakubali yaishe kwa Chama, kumlipa dau anslotaka
Klabu ya Simba imekubali kuboresha zaidi mkataba kwa matakwa mbalimbali anayohitaji kiungo raia wa Zambia, Clatous Chama ili asaini mkataba mpya,
Clatous Chama yupo tayari kusaini kandarasi mpya na kipaumbele kikubwa zaidi ni Simba, kuelekea msimu ujao,