Wadau walaani kitendo cha Maxi Nzengeli
Nalaani kitendo hichi alichofanya Maxi Nzengeli kwa Azizi Ki na Aziz Ki akiwa ametulia tuu eti aise anasikilizia Kiss 🤮? mpigaji wa hii picha amekosea kuipiga na kuiweka hadharani
Je? waafrika tumeacha tamuduni zetu kama wa Afrika mwanaume kabisa unakubali kupigwa busu na mwanaume mweinzako aise mimi napigana aise hayo mambo ni watu wa Ulaya huko wameruhusu hayo mambo...ya kishwaitwani....