SIMBA, AZAM ZAMGOMBEA LAMECK LAWI WA COASTAL UNION

Taarifa nilizozipata kutokea Mkoani Tanga ni kwamba mlinzi kitasa wa Coastal Union, Lameck Lawi ana mkataba wa miaka miwili na mabingwa hao wa zamani wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara.

Kwa maana hiyo Azam FC na Simba SC zimeonyesha nia ya kumhitaji nyota huyo watalazimika kuvunja mkataba wa nyota huyo jambo ambalo Coastal Union wanajiandaa kuvuta mkwanja mrefu kwelikweli kama ilivyokuwa Kwa Bakari Nondo na Abdul Sopu.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA