PACOME KUONDOKA YANGA
Sasa hizi ni zandaaani kabisa, taarifa zinasema Mwamba alipona kabla ya Yao Kouassi na angeweza kucheza mechi ya Marudiano dhidi ya Mamelodi kule kwa Madiba.
Hivi tayari wakala wake Zambro Traore yupo dar kutatua mgogoro, kama mambo yataenda vizuri Mwamba atabaki ila ikiwa tofauti basi msimu ujao sio Mwananchi tena.