CHAMA AHUSISHWA KUSAINI MKATABA WA AWALI YANGA
Hii baada ya ukimya wa Viongozi wa Simba wa mda mrefu kuhusu kuongeza mkataba wake Simba, Kuna kiongozi wa Yanga ambaye anapambana kulifanikisha dili hili..
Taarifa za kusaini mkataba wa awali na Yanga zimevuja hadi kwa Uongozi wa simba na Sasa wanapambana ku extend mkataba wake.
Hata hivyo bado hawajakaa mezani na Mchezaji ili kujadili vipaumbele vya Mchezaji anavyohitaji katika mkataba mpya.
Wakati huo huo Chama stakosekana kwenye mchezo wa fainali ya kombe la Muungano dhidi ya Azam FC