VAR KWA MKAPA IMEELEWEKA


Mifumo ya Video Assistant Referee (VAR) tayari umeanza kufungwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa Nchini Tanzania.

Video Assistant Referee (VAR) itatumika kwenye michezo yote ya Robo fainali ya CAF.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI