KOPUNOVIC HUYOO COASTAL UNION
Aliyekuwa kocha wa Tabora Jnited Goran Kopunovic yupo mbioni kujiunga na Coastal Union.
Kwa sasa yupo kwenye hatua za mwisho kumalizana nao, Coastal malengo yao ni kumaliza nafasi ya 4 ili wacheze michuano ya kimataifa msimu ujao