GAMONDI AMJIA JUU MWANDISHI WA HABARI KWA SWALI LA KISHABIKI

Kocha wa Yanga Miguel Gamondi amegeuka mbogo kwa Mwandishi wa habari aliyeuliza kwanini amemuazisha kijana Mdogo Mzize na kumuacha Joseph Guede mkomavi na mwenye uzoefu na Michuano mikubwa, wakati wa mkutanao wa Waandishi wa habari baada ya mchezo.

"Mzize ni 'Future' ya Tanzania sio Yanga tu, sasa atapataje uzoefu kama hapati nafasi ya kucheza, mbona kacheza vizuri sana, katengeneza nafasi nyingi, kukosa ni kawaida kwa washambuliaji, au hujaona alichokifanya, wewe ni mwandishi wa habari nadhana una uelewa wa mambo kuliko shabiki, sasa unaulizaje swali kama shabiki, aya nami nikuulize yule Peter Shelulile wa Mamelod Sundowns katengeneza nafasi ngapi?" -

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA