FISTON MAYELE KUREJEA YANGA

Na Imram Khamees

Meneja wa Mshambuliaji kutoka DR Congo na Klabu ya Pyramids ya Misri, Fiston Kalala Mayele aliyemleta Tanzania Nestor Mutuale, amesema kuwa mchezaji huyo bado anaiheshimu sana klabu yake ya zamani ya Yanga SC ambayo imemuweka kwenye ramani ya soka la ushindani Kimataifa.

Kauli hiyo ya Mutuale inakuja baada ya vyombo vya habari nchini Tanzania kuripoti kuwa mshambuliaji huyo aliyefanya makubwa kwa misimu miwili mfulululizo na Wananchi wa Jangwanai anataka kuhamia Azam Fc na Wengine wakisema Simba SC baada ya kushindwa kufanya vizuri nchini Misri,

“Mteja wangu anajua vizuri thamani na jukwaa ambalo Young Africans walimpatia kama itabidi kurudi Tanzania basi nafasi ya kwanza watapewa Young Africans Ila kwa sasa ana furaha ndani ya Pyramid labda mengine yatokee mbele lakini kwa sasa yuko na furaha,” amesema meneja wa Mayele.

Yanga wanatajwa kufikia makubaliano mazuri na aliyekuwa mshambuliaji wa Azam FC, Prince Dube baada ya kutemana na matajiri hao wa Dar es Salaam.FISTON MAYELE ATAREJEA YANGA KWANZA.

Meneja wa Mshambuliaji kutoka DR Congo na Klabu ya Pyramids ya Misri, Fiston Kalala Mayele aliyemleta Tanzania Nestor Mutuale, amesema kuwa mchezaji huyo bado anaiheshimu sana klab yake ta zamani ya Yanga SC ambayo imemuweka kwenye ramani ya soka la ushindani Kimataifa.

Kauli hiyo ya Mutuale inakuja baada ya vyombo vya habari nchini Tanzania kuripoti kuwa mshambuliaji huyo aliyefanya makubwa kwa misimu miwili mfulululizo na Wananchi wa Jangwanai anataka kuhamia Azam Fc na Wengine wakisema Simba SC baada ya kushindwa kufanya vizuri nchini Misri,

“Mteja wangu anajua vizuri thamani na jukwaa ambalo Young Africans walimpatia kama itabidi kurudi Tanzania basi nafasi ya kwanza watapewa Young Africans Ila kwa sasa ana furaha ndani ya Pyramid labda mengine yatokee mbele lakini kwa sasa yuko na furaha,” amesema meneja wa Mayele.

Yanga wanatajwa kufikia makubaliano mazuri na aliyekuwa mshambuliaji wa Azam FC, Prince Dube baada ya kutemana na matajiri hao wa Dar es Salaam.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI