CHANUO BADO NI MKE WANGU- MADEBE
Staa wa Michezo ya kuigiza (Bo gomu I) Madebe Lidai amesema msanii mwenzake Chanuo bado ni mke wake tofauti na watu wanavyodai kwamba wameacha a.
"Chanuo bado ni mke wangu, mama watoto wangu na yeye ananitambua kama mume wake, kugombana kupo ukizingatia sisi wote ni maarufu kwahiyo lazima matatizo yetu yawachanganye watu. I
la kwa sasa tuko sawa hayo mengine yaliyonikuta ni sehemu ya uanaume tu misukosuko ni lazima" - Madebe Lidai