SIMBA YAIJIBU YANGA, YAIPIGA TRA 6-0

Mabao matatu yaliyofungwa na kiungo mkabaji Sadio Kanoute na mengine ya Ladack Chasambi, Pah Omary Jobe na Freddie Michael Kobles yametosha kuiwezesha Simba SC kuifunga bila huruma TRA ya Kilimanjaro mabao 6-0 kwenye uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam.

Mchezo huo wa kuwania kombe la Azam Sports Federation Cup, ASFA maarufu FA Cup, limeifanya Simba kutinga raundi ya 32 bora

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI