MHE MWIGULU KAMA PACOME
Muonekano mpya wa mhe Dkt Mwigulu Nchemba ambaye ni Waziri wa fedha, kuelekea mtanange wa kukata na shoka kati ya Yanga SC ya Tanzania na CR Belouizdad ya Algeria utakaofanyika uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam, Waziri Nchemba amepiga briech akijifananisha na Pacome Zouzoua.
Wachezaji wa Yanga karibu wote wamepiga briech wakiadhimisha siku ya kuzaliwa ya Pacome