MAYELE AOMBA KUVUNJA MKATABA PYRAMIDS


Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Yanga, Fiston Mayele amewasilisha barua kwenye Menejiment ya klabu ya Pyramids kwaajili ya kuhitaji kusitishiwa mkataba wake.

Vyombo mbalimbali vya Habari kutoka Misri vimeripoti kuwa Fiston Mayele hana furaha kuitumikia zaidi Pyramids na ameshafanya mazungumzo na Menejiment yake ili kupata changamoto nyingine akiondoa Pyramids.

Taarifa za kuaminika ni kuwa Fiston Mayele anautaka usimamizi wa klabu ya Pyramids ya nchini Misri kuweza kusitisha mkataba wake, Fiston Mayele needs the pyramids management to terminate his contract and leave the club.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA