MANENO YA SAMUEL ETO' O YAWE FUNZO KWA TANZANIA
"Kitu nachokiona, tulifanya makosa kuwakabidhi bendera watu waliozaliwa nje ya Cameroon. Uzalendo kwa taifa upo mbali na hisia za mioyo yao. Hawana DNA na udongo wa Cameroon. Lakini baada ya Afcon kila kitu kitabadilika".
"Tutahakikisha tunafanya kipimo cha uzalendo kwa kila kijana kabla ya kumvalisha jezi ya nchi yetu." -
Samuel Eto'o, Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Nchini Cameroon .
Chukua hiyo kauli ya Eto'o ilete kwa kikosi cha Taifa stars cha kocha Adel kisha ilete kwenye kikosi cha Stars cha kocha Morocco