GADIEL MICHAEL ATAMBULISHWA CAPE TOWN SPURS
Nyota wa Zamani wa Klabu ya Azam FC , Yanga , Simba na Singida Big Stars amejiunga rasmi na Kikosi cha Cape Town Spurs inayoshiriki ligi Kuu ya South Africa.
Gadiel anaungana na Kocha wake wa Zamani wa Singida Fontaine Gate Ernst Meddendorp pale