BUMBULI AMTETEA CHAMA
“Baada ya Chama kusimamishwa na uongozi wa Simbasc kwa sababu ya Utovu wa nidhamu watu mbali mbali wamekua na Mtazamo na maono tofauti tofauti kupitia Ukurasa wa aliekuwa Afsa Habari na Mawasiliano wa yangasc Hassan Bumbuli ameandika haya”
Clatous Chota Chama, Triple C a.k.a Mwamba wa Lusaka. Hata iweje, umefanya kazi kubwa katika soka la Tanzania na umeleta ufahamu wa ajabu kwenye soka letu. Kama shabiki wa soka ninaheshimu na nitaendelea kuenzi ulichofanya. Ninakupa heshima yangu kamili.