YANGA YAACHANA NA CHIVAVIRO
Wananchi Wameachana na mbio za kumuwania Mshambuliaji wa klab ya Kaizer Chiefs raia wa Afrika Kusini Ranga Chivaviro (30) ambaye alitakiwa kuja kwa Mkopo na hii baada ya kufanikiwa kuipata saini ya Uhamisho wa kudumu wa Mshambuliaji mwingine Kinda,
Pia imefahamika Mwalimu Gamondi amekuwa akihusudu sana soka la vijana na ndio maana akapitisha jina la Mshambuliaji huyo anayetumia mguu wa kulia.