SIMBA YANOGEWA NA SARE MAUA
Saido Ntibanzonkiza aliwapa Uongozi Simba kipindi Cha kwanza Kwa mkwaju wa Penalty.
Asec Mimosas wakaja juu kipindi Cha pili na kuwapiga mafuriko ya kutosha Simba, ndipo Karamoko Sankara akawatoa nduki mabeki wa Simba Kisha kupiga krosi ya chini Serge Poku anaweka Mpira kambani.
Poku anafunga bao mbele ya walinzi wa Simba watatu hii ni aibu kubwa sana kwao .
Sankara Karamoko bonge la kiungo mshambuliaji huyu akiwa na Mpira mguuni wwe msindikize tuu .