WIMBO WA DIAMOND WAZUA BALAA MAREKANI
Wimbo wa Diamond Platnumz #shu unasikizwa sana Marekani, kwa mujibu wa Roma Mkatoliki ameandika kupitia InstaStory yake wimbo unapigwa sana Jijini Washington DC, Marekani.
Roma ameandika hayo kupitia Instastory yake...
"Kibane baaane mwisho kiliwe na nyenyere huu muwa unalia sana DC club nyingii!!!"