TIMU YA ZAMANI YA ROBERTINHO YAONDOSHWA LIGI YA MABINGWA
Klabu ya Vipers jana wameaga Michuano ya CAF CL baada ya Kutolewa na Jwaneng Galaxy
Mchezo wa jana Vipers wameshinda
2️ kwa 1️ ushindi ambao haukuwa na faida kwao kwa maana mechi ya kwanza kule Botswana walipoteza[2-0]
Hivyo Jwaneng Kupata Bao St Mary's ni Faida iliyowapeleka moja kwa moja hatua inayofuata na Watakutana na O.Pirates kutoka Afrika Kusini...
Haijawa siku nzuri kwa Vipers kwa maana walionekana kama wanaumaliza mchezo mara baada ya kwenda mapumziko wakiongoza[2-0]