MORRISON ANATAKA MSHAHARA MKUBWA ASAINI SINGIDA FOUNTAIN GATE
Kikao kinaendelea Dar es Salaam, Tanzania kati ya Uongozi wa Singida Fountain Gate na winga Bernard Morrison juu ya uwezekano wa kuipata saini ya Mchezaji huyo.
Morrison anahitaji mshahara mkubwa sana, issue ni maslahi binafsi, ila kuna uwezekano wa Bernard Morrison akajiunga na Singida Fountain Gate.