PROFESA NABI AANGUKIA FAR RABAT, MOROCCO
Profesa Nabi alikuwa anatakiwa na Kaizer Chief mwisho wa siku mambo yameenda kombo zakikachero kabisa zinaeleza walishindwana.
Sasa kwa mujibu wa tetesi zinaeleza Mabingwa wa Morrocco klabu ya AS FAR Rabat wanahitaji huduma ya Nabi kwa ajili ya msimu ujao na michuano ya kiamataifa.