MORICE CHUKWU AAGA RASMI RIVERS UNITED
Kiungo wa Rivers United United ya Nigeria Morice Chukwu anondoka rasmi ndani ya klabu hiyo baada ya kuhudumu kwa miaka miwili na nusu ndani ya klabu hiyo akitokea Akwa United.
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali kutoka nchini Nigeria vinaripoti kwamba kiungo huyo ana ofa mbili kutoka Afrika Mashariki na kuna asilimia kubwa akacheza NBC Premier Legue Msimu ujao