Tusker, Gor Mahia zamuwania Yacouba Sogne
Vilabu vya Tusker na Gor Mahia vimeingia vitani kuisaka saini ya kiungo wa ushambuliaji wa klabu ya Ihefu raia wa Burkina Faso Yacouba Songne,
Kandarasi ya Yacouba Songne na Ihefu inatamatika mwishoni mwa msimu huu 2022-2023.