Wenger amtetea Sanchez kukataa kupima

Mkufunzi wa Arsenal, Arsenel Wenger amemtetea mchezaji wake wa zamani Alexis Sanchez aliyejiunga na mashetani wekundu, Manchester United kwa kukataa vipimo.

Sanchez amekataa kupima afya kama anatumia madawa ya kuongeza nguvu ama hatumii, raia huyo wa Chile alikataa kupimwa baada ya kutakiwa na madaktari.

Katika taarifa yake. meneja wa Arsenal, Arsenel Wenger amedai hakuna ulazima wowote wa kupima kwani Sanchez hatumii dawa hizo na anajiamini kwa kile anachokiamini

Alexis Sanchez amekataa kupima afya

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI