Valencia bado yamng' ang' ania Rojo
Valencia bado inakomaa kuhakikisha inamnasa beki wa Manchester United Marcos Rojo kwenye usajili wa dirisha dogo la January.
Muargentina huyo ameanza kuaminiwa na Jose Mourinho lakini Valencia inaamini kutua kwa Victor Landelof kutamfanya Rojo awe huru na watampata kirahisi